Let's Investigate and Verify! | Message from Koba, Kibena, Kiduchu, Amani, and Baraka!
Jamani! Mwaka huu, Ubongo Kids ni ZAIDI ya hisabati na sayansi! Msimu huu si KAMA ULIVYOZOEA! Ubongo Kids MPYA inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo! Msimu wa 3 wa Ubongo Kids utakuandaa kifikra, ukichochea uwezo wako wa kung’amua matatizo na kuyatafutia ufumbuzi. Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya AkiliandMe inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule! Tazama Ubongo Kids kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1! Pata pia webisodes zetu zote kupitia:
السنة
2017
المدة
9m
IMDb
0
Hero Poster
قد يعجبك أيضًا
Nursery Rhymes | Words & Sounds
Primary 4 English
SS 1 English
PrePrimary English
Level 1 English | Little Fox
PrePrimary English
JS 3 English
Read with Akili
Level 2 English | Little Fox
SSS12 English
Level 9 English | Little Fox
Year7 English
SSS10 English
Grade 1 English
Pry6 English
Year 11 English
Pry4 English
JSS7 English
Literacy
Learn English with Celebrities
JSS 3 Junior English
Class 4 English Grammar
JSS3 English Language
Learn the Letters of the ABCs!
اختيارات مميزة
هل تريد المزيد من الترفيه؟ استكشف منصة الألعاب المقترحة ووجهة الدراما القصيرة التي نوصي بها.


