Ubongo Kids Episode dalam Bahasa Inggris! - Anak-anak untuk Masa Depan yang lebih Bersih!
Let's learn English with Ubongo Kids! Angalia hiki kipindi kizima cha Ubongo Kids kwa Kiingereza! Jamani! Mwaka huu, Ubongo Kids ni ZAIDI ya hisabati na sayansi! Msimu huu si KAMA ULIVYOZOEA! Ubongo Kids MPYA inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo! Msimu wa 3 wa Ubongo Kids utakuandaa kifikra, ukichochea uwezo wako wa kung’amua matatizo na kuyatafutia ufumbuzi. Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya AkiliandMe inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule! Tazama Ubongo Kids kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1! Pata pia webisodes zetu zote kupitia:
Tahun
2018
Durasi
24m
IMDb
0
Hero Poster
Mungkin Anda Juga Suka
Nursery Rhymes | Words & Sounds
Primary 4 English
SS 1 English
PrePrimary English
Level 1 English | Little Fox
PrePrimary English
Read with Akili
Level 2 English | Little Fox
SSS12 English
Year7 English
Grade 10 English
SSS10 English
Learn English with PODCASTS
Pry6 English
Pry4 English
JSS7 English
Literacy
Baby Learning with Ms Rachel - Videos for Babies
Year 2 | English Lessons
Class 4 English Grammar
JSS3 English Language
Learn the Letters of the ABCs!
Business English: Basics
English for Effective Business Writing
Pilihan Unggulan
Ingin hiburan tambahan? Jelajahi hub game rekomendasi kami dan destinasi short drama pilihan.


