Mziki wa Ubongo Kids - Three-Season Songs! Mathematics, Science, Engineering, and Technology!
Burudika na ujifunze kupitia nyimbo za Ubongo Kids! Tuimbe wote! Jamani! Mwaka huu, Ubongo Kids ni ZAIDI ya hisabati na sayansi! Msimu huu si KAMA ULIVYOZOEA! Ubongo Kids MPYA inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo! Msimu wa 3 wa Ubongo Kids utakuandaa kifikra, ukichochea uwezo wako wa kung’amua matatizo na kuyatafutia ufumbuzi. Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya AkiliandMe inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule! Tazama Ubongo Kids kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1! Pata pia webisodes zetu zote kupitia:
वर्ष
2018
अवधि
30m
IMDb
0
Hero Poster
आपको ये भी पसंद आ सकते हैं
SSS10 Math
SSS12 Math
SSS11 Math
Pry 1 Primary Mathematics
SSS 1 Mathematics
JSS7 Math
JSS9 Math
Pry1 Math
Year 10 Math
JSS8 Math
Pry3 Math
Year6 Maths
Year4 Maths
Video 2: Spatial Figures
Year3 Maths
Year5 Maths
Pry4 Math
Pry2 Math
SS3 Mathematics
Grade 10 Mathematics
Grade 12 Mathematics
Pry5 Math
Year9 Maths
Year 2 Math
Featured Picks
और entertainment चाहिए? हमारे recommended gaming hub और short-drama destination को explore करें।


