Math Songs | Ubongo Kids | Content, Structure, Values, etc. - in Swahili!
Jamani! Mwaka huu, Ubongo Kids ni ZAIDI ya hisabati na sayansi! Msimu huu si KAMA ULIVYOZOEA! Ubongo Kids MPYA inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo! Msimu wa 3 wa Ubongo Kids utakuandaa kifikra, ukichochea uwezo wako wa kung’amua matatizo na kuyatafutia ufumbuzi. Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya AkiliandMe inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule! Tazam Ubongo Kids kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1! Pata pia webisodes zetu zote kupitia: /ubongokids /ubongokids Twitter: @UBONGOtz @UbongoKids Katuni mahususi iliyotengenezwa Afrika, kwa ajili ya wana wa Afrika!
Année
2017
Durée
35m
IMDb
0
Hero Poster
Vous aimerez aussi
Read with Akili and Me | Cartoons for Preschoolers | African Cartoons
Animal Alphabet | Akili and Me African Cartoons | Animals from Africa... and around the World!
Stories with Ubongo Kids! | Swahili Episodes | Ubongo Kids
Kiduchu Shupavu! | Videos of Kiduchu from Ubongo Kids
Ubongo Kids Episode in English! - Kids for a Cleaner Future!
Coordinating conjunctions | The parts of speech | Grammar | Khan Academy
Primary 1 English
Primary 2 English
Learn English with Movies
Year1 English
Learn English with Akili and Me!
KS1 English
Learning ABCs - African Alphabet Edutainment
Year2 English
Year3 English
Learn With Ms Rachel - Learn To Talk - Baby, Toddler and Preschool Learning
Pry3 English
Storytime with Akili and Friends
Pry1 English
Meet the Alphabet
English Advanced C1
Alphabet Letter Hunt!
English lessons for JAMB, WAEC, NECO and NABTEB candidates + SS1, SS2 and SS3 students
Learn To Talk with Ms Rachel
Suggestions mises en avant
Envie de plus de divertissement ? Découvrez notre plateforme de jeux recommandée et notre destination de mini-dramas.


